Karibu tujumuike kuleta ukombozi wa wilaya yetu yenye rasilimali nyingi ili tujilete maendeleo yetu na ya jamii yetu tunayo ishi
inuka mwana mbinga ili makaa ya mawe na sofaya zetu ziwe salama, rasilimali zinapotumiwa vibaya jamii inayokuja haitaweza kuishi
bila rasilimali basi inatupasa kutumia vizuri rasilimali zetu.