PEEEEEOPLE'S POOOOOOOWEEEEEER NGUVU YA UMMAAA
Wednesday, 2023-02-01
My site
PAMOJA TUNAWEZA KULINDA TANZANIA
Site menu
Our poll
Rate my site
Total of answers: 3
Statistics

Total online: 1
Guests: 1
Users: 0
JIUNGE NA CHADEMA UOKOE RASILIMALI ZA TAIFA KAMA RASILIMALI HAZITAANZA KUWANUFAISHA WANANCHI WA ENEO HUSIKA KATIKA TAIFA KUNA HAATARI YA TAIFA KUINGIA KWENYE VURUGU KAMA ILIVYO KUWA KWA SUDANI KUSINI
Main » 2012 » May » 4 » JK aunda Baraza jipya la Mawaziri
7:13 PM
JK aunda Baraza jipya la Mawaziri
BREAKING NEWS:
JK aunda Baraza jipya la Mawaziri 
Friday, 04 May 2012 17:51
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Jakaya Kikwete ameteua baraza jipya la mawaziri huku akiyaondoa baadhi ya majina ya mawaziri waliotuhumiwa kuhusika katika ufisadi, kuwahamisha wengine kutoka wizara moja hadi nyingine, kuingiza sura mpya na wengine wakipanda kutoka unaibu hadi uwaziri.

Aidha kabla ya kutaja baraza hilo jipya alisisitiza kuwa, kuanzia sasa waziri anapowajibishwa basi wataalam husika katika wizara waliosababisha kuwepo kwa ubadhilifu nao pia watawajibishwa.

Baadhi ya Mawaziri wapya ni Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Teknolojia January Makamba, Mbunge aliyeteuliwa mchana Saada Mkuya Salum na Janet Mbene wakiteuliwa katika nafasi ya manaibu katika wizara ya Fedha, huku Sospeter Muhongo aliyeteuliwa jana kuwa mbunge akiteuliwa kuwa Waziri wa Nishati na Madini

Baadhi ya Mawaziri waalioachwa ni waziri wa fedha Mustafa Mkulo, Waziri wa Uchukuzi Omary Nundu, Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja

Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye
Add this page to your favorite Social Bookmarking websites


Last Updated on Friday, 04 May 2012 17:54
Views: 557 | Added by: twangaraha | Rating: 0.0/0
Total comments: 0
Name *:
Email *:
Code *:
Login form
Calendar
«  May 2012  »
SuMoTuWeThFrSa
  12345
6789101112
13141516171819
20212223242526
2728293031
NATHASON THE GREAT © 2023