PAMOJA TUNAWEZA KULINDA TANZANIA
Statistics |
Total online: 1 Guests: 1 Users: 0 |
JIUNGE NA CHADEMA UOKOE RASILIMALI ZA TAIFA
KAMA RASILIMALI HAZITAANZA KUWANUFAISHA WANANCHI WA ENEO HUSIKA KATIKA TAIFA KUNA HAATARI YA TAIFA KUINGIA KWENYE VURUGU KAMA ILIVYO KUWA KWA SUDANI KUSINI
|
Main » 2012 » May » 17
mwalimu nyerere ambaye ndiye mwasisi wa chama cha mapinduzi aliwahi kukitabilia kifo chama ambacho yeye aliki asisi kwa madai kua kina kanza ya uongozi hebu tupate nukuu ya maneno yake kabla htuja endelea Mwaka 1993 Mwalimu alichapisha kitabu kiitwacho Uongozi Wetu na Hatima ya Tanzania (Harare: Zimbabwe Publishing House, 1993). Pamoja na mambo mengine katika kitabu hiki, Mwalimu alisema kuwa kuna kansa katika uongozi wa CCM. Nanukuu baadhi ya maneno yake: ... Chama cha Mapinduzi, kwa sababu ya uzito wa historia yake, hadhi ya jina lake, mfumo wa wavu wake, mazoea ya watu, na ubovu wa Vyama vya Upinzani, kinaweza kuchaguliwa na Watanzania, pamoja na kansa ya uongozi wake. Au watu wanaweza wakachoka, wakasema, "potelea mbali:" wakachagua Chama cho chote, ilimradi tu watokane na kansa ya uongozi wa CCM. Hainifurahishi kuyasema haya, lakini uhai wa Nchi yetu unataka yasemwe. (Ukurasa 61) Mwalimu
...
Read more »
Views:
1655
|
Added by:
twangaraha
|
Date:
2012-05-17
|
|
ASEMA NAPE ANAIGEUZA CCM MALI YAKE,PINDA YUKO MBALI NA WANANCHI, KINGUNGE PIA ACHARUKA Midraji Ibrahim, Dodoma BAADA
ya ukimya wa muda mrefu, Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Yusuf Makamba
ameibuka katika kikao cha Halmashauri Kuu ya chama hicho (Nec) na
kumtuhumu Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye kwamba amekigeuza
chama kuwa mali yake binafsi.
Taarifa kutoka ndani ya kikao
hicho, zimesema kwamba Makamba alisema hatua ya Nape kugeuza chama hicho
kama taasisi yake binafsi ndiyo ambayo imesababisha kikose mwelekeo.
Makamba
licha ya kuelekeza mashambulizi yake kwa Nape, alimrushia pia kombora
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda kuwa ana uhusiano mdogo na wananchi.
"Mzee
(Makamba) amesema hivi sasa CCM imekuwa kama jogoo anayepelekwa kwa
mganga, kila anakoelekezwa
...
Read more »
Views:
1796
|
Added by:
twangaraha
|
Date:
2012-05-17
|
| |
|
|
|