PAMOJA TUNAWEZA KULINDA TANZANIA
Statistics |
Total online: 1 Guests: 1 Users: 0 |
JIUNGE NA CHADEMA UOKOE RASILIMALI ZA TAIFA
KAMA RASILIMALI HAZITAANZA KUWANUFAISHA WANANCHI WA ENEO HUSIKA KATIKA TAIFA KUNA HAATARI YA TAIFA KUINGIA KWENYE VURUGU KAMA ILIVYO KUWA KWA SUDANI KUSINI
|
Main » 2012 » May » 8 » Raisi mkapa apanda kizimbani, kutoa ushidi
1:06 AM Raisi mkapa apanda kizimbani, kutoa ushidi |
raisi mkapa apanda kizimbani kutoa ushidi |
|
07 May 2012 12:47 | RAIS Mstaafu wa Awamu ya Tatu, Benjamin Mkapa, yupo kizimbani muda huu katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumtetea aliyekuwa Balozi wa Tanzania nchini Italia, Profesa Costa Mahalu anayekabiliwa na shtaka la uhujumu uchumi akidaiwa kuisababishia serikali hasara kubwa. Kwa taarifa zaidi Ungana nasi baadaye
|
|
Views: 725 |
Added by: twangaraha
| Rating: 0.0/0 |
|
|
|